Hiroshi Koizumi, enzi za uhai wake |
Moja ya sinema za Godzilla |
Hiroshi Koizumi, msanii wa Japan ambaye aliigiza katika
filamu nyingi za Godzilla amefariki akiwa na umri wa miaka 88. Kulingana na
ripoti, alifariki mjini Tokyo tarehe 31 Mei 2015, kutokana na homa ya mapafu (Pneumonia)
katika hospitali ya Tokyo.
Koizumi
aliigiza kama Godzilla katika filamu ya ‘Godzilla Raids Again’ ikiwa ni filamu
ya kwanza ya Godzilla. Baadaye aliigiza katika
filamu kadhaa za kutisha ikiwemo ‘Mothra’, ‘Godzilla vs The Thing’ na ‘Ghindorah
and the Three headed Monster’.
Hiroshi Koizumi alizaliwa tarehe 12 Agosti 1926, alikuwa
muigizaji wa Japani, na sinema alizowahi kucheza ni pamoja na:
-
Late Chrysanthemums (1954)
- Godzilla Raids Again (1955) – Shoichi
Tsukioka
- Song for a
Bride (1958)
- Mothra (1961) – Dr. Shinichi
Chujo
- 47 Samurai (1962)
- Matango (1963)
- Atragon (1963)
- Mothra vs. Godzilla (1964) – Professor
Miura
- Dogara, the Space Monster (1964) – Kirino
- Ghidorah, the Three-Headed Monster (1964) – Professor
Miura
- Ultra Q (1966;
TV series)
- Godzilla vs. Mechagodzilla (1974)
- The Return of Godzilla (1984)
- Godzilla: Tokyo S.O.S. (2003) – Dr. Shinichi
Chujo
No comments:
Post a Comment