Mar 21, 2012
Tunamuenzi vipi Mzee Kipara?
. Alitumia sehemu kubwa ya maisha yake katika sanaa
. Aliishi maisha ya mateso makubwa mno kuliko jina lake
2:00 asubuhi, ambapo Mungu aliichukua roho yake na kumpumzisha na maumivu makali ya muda mrefu aliyokuwa akiyapata.
. Aliishi maisha ya mateso makubwa mno kuliko jina lake
Mzee Kipara enzi za uhai wake akiwa kazini
Mzee Kipara wakati akiwa anaumwa
Neno Buriani ni neno lililotawala kwenye machapisho mbalimbali zikiwemo wavuti (website), mitandao ya kijamii na blogu mbalimbali na lingeweza kumtoka binadamu yeyote aliyeshuhudia, kufuatilia ama kusoma kwa ukaribu sana kuhusu maisha ya mateso ya Mzee Kipara kabla ya umauti wake.
Mar 2, 2012
Sasa tujikite kutengeneza filamu fupi.
* Zinalipa zaidi kuliko filamu ndefu
Fasta Fasta, moja ya filamu fupi za Watanzania ambayo imefanya vizuri katika soko la kimataifa
Lengo kuu la mafunzo haya lilikuwa kujaribu kuongeza uelewa kwa waongozaji wa filamu ambao hawakubahatika kwenda shule za filamu kusomea.
Subscribe to:
Posts (Atom)