Nov 25, 2009

Tanzania, nchi ya amani...

UPANDE MMOJA UKO HIVI: 

Mwananchi kajipumzisha baada ya kazi nzito

Hii ni moja ya shule zetu za msingi zilizoko vijijini


Jengo la darasa kama linavyoonekana kwa nje 


Wanafunzi wakiwa darasani kwa ajili ya kujipatia elimu

Hii siyo filamu bali ni hali halisi ya maisha ya Wabongo.

Ama kweli Tanzania ni nchi ya amani na hapa inadhihirisha uhalisi wa Watanzania. kuna pande mbili katika maisha kitu ambacho mimi kama mdau wa sekta ya filamu nina wajibu wa kukitungia hadithi na ikiwezekana ikachezwa sinema kuonesha uhalisi huu wa Watanzania. Hebu zitazame hizi picha kwa makini halafu utoe maoni yako.

UPANDE WA PILI:

Jengo la Ubalozi wa Tanzania jijini Washington, Marekani.

Ofisi zetu za Bunge zilizoko Dodoma

Gazeti la Rai likiripoti habari kuhusu uhalisi wa Watanzania

Je, si kweli kwamba Tanzania ni nchi ya amani? Nani anayebisha?

No comments: