Oct 24, 2009

Wadau wa Filamu wanapaswa kujiendeleza

Pichani ni wadau wa filamu Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya Actors Directing yaliyokuwa yakitolewa kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Idara ya Sanaa na kuendeshwa na wataalam toka Ujerumani. Bishop J. Hiluka wa kwanza kulia kwa walioketi kwenye benchi (mwenye tshirt nyeupe na suruali ya jeans ya bluu). Anayemfuatia ni Matthias Luthard, mtaalam toka Ujerumani.

No comments: