Oct 13, 2009

Kukua kwa Sekta ya Filamu Duniani

Matatizo na ukosefu wa ajira kwa vijana ndiyo yaliyowachochea vijana wengi kujitumbukiza kwenye Sekta ya Filamu, na hivyo kupelekea wengi wao hivi sasa katika mataifa mengi (ikiwemo Tanzania) wakijikuta wamepata mkombozi wa ajira kupitia filamu kama inavyoonekana kwenye picha hizi.

No comments: