Dec 4, 2009

Tanzania Film Federation & Baraza la Sanaa la Taifa

Mkurugenzi wa TAFF Haji Adam akisisitiza jambo

Katibu Mkuu, Bishop Hiluka, akiwa na mjumbe wa TAFF, Issa Mussa (Cloud) 
na Naibu Katibu, Simon Mwakifwamba (Jaspa) nje ya ukumbi wa Basata

Jumanne ya tarehe 1/12/2009 kulikuwa na mkutano kati ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), kikao hicho kiliitishwa na Basata kufuatia wadau hao wa TAFF kuliandikia barua Baraza kutaka kujua hatma ya usajiri wa shirikisho kufuatia mizengwe ambayo imejitokeza.