Bayport

Bayport

fofam

fofam

imetosha

imetosha

Ads

Ads

Oct 16, 2009

John Lister aja na BLACKMAIL

John Lister kashika CAMERA, mbele ya Simon Mwapagata (Rado) katika pozi la kufa mtu. 


Picha kali ya Kiswahili itakayoingia sokoni wakati wowote kuanzia mwezi wa ujao (Novemba,2009) imeandaliwa na John Lister, imepigwa picha na Rashid Mrutu na kuongozwa na Bishop J. Hiluka. Inajulikana kwa jina la Blackmail. 


Hapa chini ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa upigaji picha (shooting) wa filamu hiyo.

Rashid Mrutu akifanya vitu vyake wakati wa upigaji wa sinema hiyo katika jengo la Ubungo Plaza.

Bishop J. Hiluka akitoa maelekezo kwa Hemed Suleiman na Gift Lister kabla ya 
kuanza upigaji picha.

Simon Mwapagata (Rado) kashika mwongozo (script) akijikubusha kabla ya kuanza zoezi la upigaji picha.

Immaculate Aloyce katika kapozi wakati wa upigaji picha hapo Sunset Beach Hotel, Kigamboni

Witnes Mwanwingi (Miss Tourism Africa) pia yumo kwenye sinema ya Blackmail

Ama kweli jambo limezua mambo! Immaculate akiwa katika mawindo.

Immaculate Aloyce katika pozi kabla ya kuanza upigaji picha. Hapa akiwasiliana na jamaa yake

Gift Lister akimpodoa Hemed Suleiman kabla ya kuanza upigaji picha

Oh, asalallee! Mambo ya vipodozi hayo!

Sulesh Marah, muongozaji wa sinema ya 'New Page' katika picha ya pamoja na Bishop J. Hiluka, wakati wa upigaji picha za sinema ya Blackmail

No comments: