Bayport

Bayport

fofam

fofam

imetosha

imetosha

Ads

Ads

Oct 13, 2009

Hii ndo' sababu naipenda sana AFRIKA ...

Makazi ya Kiafrika
Kweli hii ndo' Afrika. Lazima tujivunie Uafrika wetu ati!

Bara la Afrika limejaaliwa mandhali za kuvutia na wananchi wake wakarimu. Ndiyo maana inasemwa kuwa "Afrika Hakuna Matata!" Kwa Waafrika kila kitu huja kwa wakati wake wala hakuna makuu. Kwa miaka mingi sana bara la Afrika limekuwa likichukuliwa kuwa ni bara la giza na mataifa ya Ulaya na Marekani. Lakini hiyo hainifanyi kutoipenda Afrika.


Pia tumo katika harakati za kupata habari mbalimbali za duniani. Si unacheki mwenyewe ungo wa nguvu!

Walkman
Hatuko nyuma katika kupata habari na kusikiliza MUSICS! Hata kudensi pia imo!


Capital Hill Offices
Pia tunazingatia afya kwa kuwa afya ni uhai, ukitaka maji ya moto unapata bila shida.


Transportation
Kwenye mambo ya usafiri hatuko nyuma vilevile!Ambulance
Uwapo Afrika unahakikishiwa kuwa utakuwa salama kabisa.

Swimming Pool
 Pia tunapoamua kuishi kizungu tunaandaa swimming pool zetu kiaina kama hivi!

No comments: