Dec 20, 2011

Viongozi wapya wa Chama cha Waandishi wa Script Tanzania (Tanzania Scriptwriters Association)

Kimela Billa, Makamu Mwenyekiti 

Ramadhani Kingaru, Mjumbe 

Christian Kauzeni, Mjumbe

Hawa ndiyo viongozi waliochaguliwa kuongoza taasisi ya waandishi wa miswaada andishi ya filamu (script) kwenye uchaguzi ngazi ya taifa (Tanzania Scriptwriters Association - TASA) uliofanyika jana Jumatatu tarehe 19/12/2011 pale Vijana Social Hall - Kinondoni:

- Abdul Maisala                     Mwenyekiti
- Kimela Billa                         Makamu Mwenyekiti
- Samwel Kitang’ala             Katibu
- Subira O.Nassor Chuu       Mweka Hazina
- Mike Sangu                         Mjumbe
- Dimo Debwe                       Mjumbe
- Ramadhani Kingaru           Mjumbe
- Badru M Soud                     Mjumbe
- Amos Banzi                         Mjumbe
- Nasir Mohamed                  Mjumbe
- Christian Kauzeni               Mjumbe
- Pierre Mwinuka                   Mjumbe
- Eric Chrispin                       Mjumbe

Nawatakiwa kazi njema katika kulisongesha gurudumu la waandishi nchini na watambue kuwa uongozi walioupata utumike katika kuhakikisha waandishi wa script nchini wanapata mafunzo ya taaluma ili waweze kuandika script bora zitakazosaidia kuboresha filamu zetu.


No comments: