Wiki iliyopita ilishuhudia msanii aliyepata umaarufu mkubwa
enzi za Kaole ya ITV, maaruf kwa jina la Mlopelo aliyefariki dunia mchana wa
Alhamisi kwenye hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam .
Kwa mujibu wa msemaji wa familia aliyejitambulisha kwa jina moja la Azizi aliyesema kwamba katika maisha yake yote, Mlopelo alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya mwili yaliyokuwa yakitulia na kuibuka tena hadi umauti ulipomfika.